SERIKALI YARIDHIA KUKOPA(fedha kwa ajili ya maendeleo)
Yasema itaendelea kukopa,haiwezi kukwepa kukopa kwani mikopo hayo ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.Yasisitiza haikopi fedha kwa matumizi ya serikali bali ni kuendeleza miundombinu kama vile kujenga madaraja,barabara nk.
No comments:
Post a Comment